Premier Bet
TMDA Ad

Mix

Tazama Mzee huyu alichofanyiwa na RC Hapi Iringa (+Video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ally Hapi ameongea na Wananchi wa Mkoa wake juu ya Mfuko wa TASAF ambapo huko chini ya Ofisi ya Rais ameeleza lengo la Mfuko huo ni kwa ajili ya kuwainua Wananchi wenye hali duni

RC Hapi ameongezea kwa kusema kuwa ‘Wananchi wa Iringa wanakila sababu za kuishukuru Serikali kwa kuwa kabla ya mfuko huu wa TASAF kuna Kaya walikuwa wanashinda kwa mlo mmoja lakini kwa sasa wanapata milo mitatu

Nimekuwekea Video hapa chini unaweza kubonyeza Play hapa chini kuitaza kwa kirefu zaidi

Soma na hizi

Tupia Comments