Ni miaka 25 toka kuanzishwa kituo cha utangazaji wa radio ya watu CloudsFM ambayo ilikuwa ni December 2 lakini imeamuliwa kusherehekea leo hii ambapo Mkurugenzi Mkuu Joseph Kusaga amechagua kuwa mtangazaji wa Zamu aliyepita vipi tofauti tofauti na kuzungumza na watangzaji wa vipindi hivyo
Hizi hapa ni picha za matukio tofauti tofauti kutoka Mjengoni Clouds ikiwa ni kusheherekea Miaka 25 ya CloudsFM