Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Happy birthday Clouds FM, leo ni miaka 16 ya kuzaliwa !!!
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Happy birthday Clouds FM, leo ni miaka 16 ya kuzaliwa !!!
Habari za Mastaa

Happy birthday Clouds FM, leo ni miaka 16 ya kuzaliwa !!!

December 2, 2015
Share
4 Min Read
SHARE

December ni mwezi ambao Clouds Fm inasherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo leo wasanii na watangazaji mbalimbali walikuwa wakiipongeza kupitia mitandao ya kijamii kwa kufikisha miaka 16 katika uandaaji wa vipimo na usikilizwaji.

Hapa nina list ya mastaa na watangazaji walioshea pongezi zao kupitia mitandao yao.

Hii miaka 16 ya the super brand radio @cloudsfmtz ‘radio ambayo kupitia show zake za fiesta ilinifanya niweze kushoot video ya wimbo wangu wa kwanza kwa mkwanja wangu mwenyewe kwa mara ya kwanza ‘so naiombea Miaka Mingi zaidi iweze kubadilisha maisha ya wasanii na kusapoti zaidi kazi zetu’pamoja tunaweza #Clouds16

A photo posted by M Z I W O N D E R (@mziwandanation) on Dec 2, 2015 at 5:57am PST

Miaka 16 ya “USHKAJI” na bado tunaendelea kufanya kilicho SUPER…!!! @cloudsfmtz @jahazicloudsfm @brwn_gurrl A photo posted by Emmanuel Likuda (@likudaz) on Dec 2, 2015 at 4:43am PST

Congratulation Clouds Media Group, kwa furaha yangu kutoka moyoni nahitakia kila la kheri Radio ya Watu na mafanikio mengi zaidi ya haya, Mungu ibariki @cloudsfmtz @bongo_fleva @xxl_cloudsfm

A photo posted by shishi bybee /she roll it (@shilolekiuno) on Dec 2, 2015 at 5:26am PST

#ThrowbackClouds16 Hii ilikuwa picha ya kwanza ya Clouds kwenda public na hawa walikuwa baadhi ya waanzilishi wa Clouds wakati huo wakipaza sauti zao tokea 88.4 Katikati ya Jiji la Dar es Salaam kwenye jengo la Kitega Uchumi (Posta).Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mkuu Mtendaji, Joseph Kusaga (mwenye shati la blue),DJ Bonny Luv, Agnes Kiondo, Miriam Chemos, Ruge Mutahaba (aliye kaa, mwenye shati la brown) na waliosimama juu kutoka kushoto ni Daudi Lembuya (Mr D Delicious aka the silent partner), Othaman Njaidi (aka OJ) na Priscilla Mkenda. Miaka 16 ya Urafiki wa kweli..Clouds Tunakufungulia Dunia kuwa unachotaka. A photo posted by Clouds Fm (@cloudsfmtz) on Dec 1, 2015 at 11:00pm PST

A photo posted by Husna Abdul (@dahuuofficial) on Dec 2, 2015 at 5:51am PST

ASANTE kwa kushirikiana nasi katika miaka 16 iliyopita na imani yetu tutaendelea kudumisha ushirikiano wetu @officialalikiba #EzRepost @officialalikiba with @ezrepostapp Congratulations Clouds Media Group kwa kutimiza miaka 16 ya kutuhudumia watanzania kiujumla na zaidi kwa kusupport kazi zetu wasanii. Mwenyezi Mungu awajaalie kheri zaidi na muendelee kutupa support zaidi. Asanteni sana na hongereni. Happy Birthday Clouds. @cloudsfmtz @josephkussaga Kila La Kheri #SupportedByKiba #KingKiba A photo posted by Clouds Fm (@cloudsfmtz) on Dec 2, 2015 at 5:20am PST

Furaha ya kukamilika kwa Miaka 16 nikiwa ndani ya Familia hii ya Burudani…. Miaka 16 ya ushkaji na urafiki……#clouds16

A photo posted by A.s.k.o.f.u. ????????️️️️️ (@askofutza) on Dec 2, 2015 at 5:26am PST

???????? ???? #clouds16 A photo posted by KenedyTheRemedy (@kenedytheremedy) on Dec 2, 2015 at 6:15am PST

Ni Baraka Isiyo na Ukomo wa Kifani Kuwa Mfalme wa Burudani kwa Miaka 16 Himaya iliyojengwa kwa Misingi ya Ubunifu ulio tukuka ,Ueledi ,Kujituma na Kujifunza Zaidi bila kuogopa Kuthubutu katika kila Jambo . Tumshukuru Mungu anaye tusimamia Daily ..#clouds16 @cloudsfmtz @cloudstv @choicefm @cloudsdigital

A photo posted by Nickson George (@nicksongeorgekali) on Dec 2, 2015 at 4:23am PST

Ndani ya Miaka 16 ya Clouds mimi nina miaka…??? #clouds16 #fidodido #inachomakamapasi A photo posted by Makorokocho #inachomakamapasi (@soudybrown) on Dec 2, 2015 at 5:38am PST

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

You Might Also Like

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

Audiomack yazindua kampeni ya ‘Ngoma juu ya ngoma’ kukuza muziki wa kitanzania

Exclusive: Con boi kafunguka hana mawasiliano na Lunya,Quick Rocka, akumbuka kifo cha mpenzi wake

Mkali Burna boy ametuletea hii video mpya akiwa amemshirikisha Ed Sheeran

Tazama alichokifanya Diamond mbele ya Wizkid backstage, ampa Shavu Focalistic (video+)

Edwin TZA December 2, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Matatu ya kufahamu kutoka kwa Tiwa Savage >>> mtoto, mapenzi na imani ya kiroho!
Next Article Peter Msechu on air with Millard Ayo na alivyokula milioni za Wabunge. (video)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?