social network

Harmonize anakwambia ‘wakati mwingine ni vizuri kujilinda’

By

on

Harmonize ni moja kati ya wasanii ambao wanafanya vizuri kwenye game ya bongofleva na ndani ya kipindi kifupi alichoweza kuwepo kwenye game ameweza kujinyakulia mashabiki ndani na nje ya Bongo. Leo April 18 Harmonize ametumia ukurasa wake wa Instagram ambapo aliandika

‘Sometimes its good to be protected’akiwa anamaanisha kuwa wakati mwingine ni vizuri kujilinda maneno ambayo aliambatanisha na picha ya bastola.

Unaweza kuniandikia mawazo yako hapo chini kwenye comments na pia kaa karibu na kurasa za Millardayo kwenye Facebook  Instagram na Twitter kwa jina la Millardayo.

Video: ‘Wimbo wa Niambie sijamuimbia Wolper, hii ni ya kila mtu’ -Harmonize >>>

Soma na hizi

Tupia Comments