Habari za Mastaa

Unafahamu alichokikanusha Harmonize kuhusu Diamond Platnumz?

on

Perfect Crispin ni mtangazaji wa Clouds FM ambaye hapa anatusogezea stori zilizochukua headlines kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva.

Mei 11, 2016 ametusogezea hizi stori tatu ikiwemo ya Harmonize kukana kucopy sauti na stlye za Diamond Platnumz ambaye tangu kwenye Aiyola na Bado wadau wanasema kama anamcopy Diamond.

Itazame hii video hapa kuna stori zingine ametusogezea ikiwemo ya FID Q na Mike Tee

ULIKOSA? EXCLUSIVE YA MADEE AKIZUNGUMZIA VIDEO YA ‘CHURA’ KUFUNGIWA, MIGULU PANDE NA MENGINE, UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments