Habari za Mastaa

AUDIO: Majibu ya Harmorapa baada ya kuibua mjadala, kisa Kiingereza

on

April 19 2017 ulizuka utani kwenye mitandao ya kijamii baada ya staa wa Bongo fleva Harmorapa ‘Kiboko ya Mabishoo’ kuchapia lugha ya Kiingereza baada ya kuulizwa swali na shabiki yake kuwa yeye ni mwanaume wa aina gani.

Kutokana na kuulizwa hivyo Harmorapa alijibu kwa kusema: “Mim ni strong woman” kitu ambacho kilianza kuwa gumzo kwenye mitandao.

Sasa leo April 20 2017 millardayo.com imemtafuta Harmorapa kuzungumzia sakata hilo na majibu yake ni haya hapa

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza.….

VIDEO: Harmorapa amezungumzia lugha kwenye collabo na msanii wa nje

Soma na hizi

Tupia Comments