AyoTV

Harmonize alivyouanza mwaka na wanaDodoma

on

Harmonize ni jina lililoanza kwa kasi mara baada ya kuachia hit song ya ‘Aiyola’ na sasa limezidi kutawala katika masikio ya Watanzania wengi mara baada ya kuanza rasmi kufanya show.

Hapa nimekusogezea matukio yote yaliyojiri katika onyesho la kuukaribisha mwaka 2016 ambalo alilifanyaDodoma.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments