Habari za Mastaa

Harmonize afunguka bango linaloonesha akiwa na Kajala “Nimelipia milioni 12”

on

Ni April 2, 2022 ambapo bado msanii kutokea Bongo Flevani, Harmonize anaendelea kuyaandika yale anayopitia kuhusu Kajala.
Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia ufahamu kile alichokiandika Harmonize unaweza ukabonyeza play kufahamu.

HARMONIZE AAHIDI KUMUALIKA RAYVAANY KONDE VILLAGE WALE CHAKULA CHA JIONI, ASEMA HILI KWA KAJALA

Tupia Comments