Habari za Mastaa

Harmonize afunguka sababu za kuachana na briana, amkumbuka Kajala

on

NI Headline za staa kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae leo Machi 29, 2022 kupitia mtandao wake wa instagram yaani insta story ameeleza sababu za kuachana na mpenzi wake Briana.

Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia hapa taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi

Tupia Comments