Burudani

Harmonize aibukia Arusha “top 5 ya matajiri wanaongea tu,alimlipia kila kitu” (+video)

on

Msanii wa bongo fleva Harmonize amesema kipindi akiwa kijijini kwao alikuwa anamkubali sana msanii aliyesainiwa kwenye label yake Country Boy na kwamba wasanii wa HIP HOP ndio wanaoongoza dunia kwa kuwa na fedha kuliko wasanii wengine.

Msanii Harmonize kutoka kundi la Konde Gang amezungumza hayo akiwa mkoani Arusha alipokutana na waandishi wa habari kuzungumza mambo mbalimbali ikiwemo show yake anayotarajia kuifanya leo katika club ya Next Level Njiro Arusha

Mwenyezi Mungu aliniongoza kwenye njia sahihi, i belive in country boy,watu wengi wanachukulia mziki wa hip hop haulipi top 5 ya wasanii matajiri duniania ni hip hop akina Rick Ross mimi nakuambia wengine wanafuata tu”-Harmonize

“MARUFUKU KUNUNUA,KUUZA DAWA KWENYE MAGARI, HAIRUHUSIWI IWE BASI AU TRENI”-TMDA

Soma na hizi

Tupia Comments