Habari za Mastaa

Harmonize ampa onyo kali Mwijaku, amwambia “Hili suala liache tu, hakuna aliyekamilika”

on

NI Headlines za Msanii kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae time hii ameonekana kukwazika ama kukerwa pale Mwijaku anapozungumza mahusiano yake pasipo ruhusa.

Sasa Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia hapa ufahamu kilichosemwa na Harmonize kama ujumbe kwa Mwijaku.

 

HARMONIZE AFUNGUKA SABABU ZA KUACHANA NA BRIANA, AMKUMBUKA KAJALA “NIMETENGANA NAYE, NAMPENDA SANA”

MAPYA YAIBUKA BRIANA AWEKA WAZI KUHUSU HARMONIZE “NI KWELI TUMEACHANA, NITARUDI KUWATEMBELEA”

Tupia Comments