Habari za Mastaa

Harmonize kafunguka kutaka kumsaidia Rich Mavoko, aguswa na hali yake

on

Leo May 12, 2020 Mwimbaji Harmonize amezungumza kupitia XXL ya Clouds FM kuhusu post yake yakuguswa na hali ya msanii Rich Mavoko   aliyopost hivi karibuni kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Harmonize akifunguka 

 

Soma na hizi

Tupia Comments