Habari za Mastaa

Harmonize kafunguka “Nina nyimbo 4 na Burna Boy, Alikiba, Mr Nice mambo ya management”

on

 


Msanii Harmonize amezungumzia Album yake ambayo kasema itakuwa na wasanii wengi kuliko Album nyingine zilizowahi kutoka.

Harmonize amesema moja ya wasanii ambao watakuepo kwenye Album hiyo ni pamoja na msanii Burna Boy ambaye Tayari amesharecord naye nyimbo nne na soon wataanza kushoot video zao.

Pia aliulizwa kuhusu kuepo kwa msanii Alikiba Kwenye Album hiyo ambapo alijibu….>>>“Mimi ni msanii Broo naweza kufanya kolabo na msanii yoyote ndiomana nasema Konde boy for everybody, ndiomana nina amini  muziki wa west Afrika unafika mbali sana kwa Sababu ya ushirikiano”

VIDEO: HARMONIZE AZIDI KUJIONGEZEA UTAJIRI, WAHINDI WAMPA DILI NONO

Soma na hizi

Tupia Comments