Habari za Mastaa

Harmonize kuzileta Gari nyingine 3 za Konde mgahawa zitakazoenda mikoani

on

Leo Januari 15,2019 Msanii Harmonize amepewa dili la ubalozi na kampuni vinywaji ambapo Pia ametangaza kuanza kwa tour itakayo kuwa ikizunguka mikoa tofauti tofauti kufanya show juu ya kinywaji hicho.

Pia Harmonize amenyoosha maelezo baada ya kuulizwa kuhusu mgahawa wake wa Konde boy aliouzindua mwaka Jana kutokuonekana ukifanya kazi kama alivyoahidi

..>>>“Konde mgahawa itaendelea kuepo mtaani hatutakuwa tunatangaza kila siku na Mara ya kwanza tulitangaza ili watu wajue, sasa hivi Gari zitakuwa  Tatu ambazo zitaenda mikoani kabisa” Harmonize

VIDEO: HARMONIZE AZIDI KUJIONGEZEA UTAJIRI, WAHINDI WAMPA DILI NONO

Soma na hizi

Tupia Comments