Habari za Mastaa

‘Aiyola’ ya Harmonize imefanyiwa video tayari.. zitumie dakika zako 4 kuitazama. (new video)

on

Harmonize ni mwimbaji mwingine bongoflevani na jina lake lilianza kutajwa sana kwenye radio kutokana na single yake ya ‘Aiyola’ akiwa ni mmoja wa vijana walioshikwa mkono na Diamond Platnumz na studio yake ambayo inawasaidia wenye vipaji vyao.

Baada ya kuisikiliza sana kwenye Radio, Aiyola inapatikana kwenye video ambayo ndio hii hapa chini nimekusogezea, ukishamaliza kuitazama usiache kuandika comment yako ili akipita baadae ajue watu wake wanasema nini.

UMEIONAJE VIDEO? TUACHIE COMMENT YAKO MTU WANGU

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments