Habari za Mastaa

Inspector Haroon amekuja tena na huu wimbo – “Haujachelewa”

on

fffffffffffff

Anaitwa Haruna Kahena memba wa kundi kongwe kwenye muziki wa bongoflava “Gangwe Mobb” akiwa na Luten Karama.

Zamani alitamba sana na wimbo wake wa mtoto wa geti kali, lakini leo ni zamu ya “Haujachelewa” ambao unaweza kuusikiliza hapa

[soundcloud soundcloudurl=”https://soundcloud.com/xxl23/inspector-haroon-haujachelewa” ][/soundcloud]

 

Tupia Comments