Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Bomoabomoa sio Dar tu imewakuta mpaka watu wa Kagera (+Picha 11)
Share
Notification Show More
Latest News
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Bomoabomoa sio Dar tu imewakuta mpaka watu wa Kagera (+Picha 11)
Top Stories

Bomoabomoa sio Dar tu imewakuta mpaka watu wa Kagera (+Picha 11)

August 31, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Wakala wa Barabara Tanzania, TANROADS Mkoa wa Kagera wameanza zoezi la ubomoaji wa nyumba zilizopo ndani ya hifadhi ya barabara (Mita 30) kutoka barabara kuu.

Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kagera Mhandisi Andrew Kasamwa amesema zoezi hilo limeanza katika Kata ya Rwamishenye ndani ya Manispaa ya Bukoba ambako wamiliki walilipwa fidia zao tangu mwaka 2012 lakini waligoma kuondoka kwa hiari.

Zoezi hilo ni endelevu ambapo leo wameanza na wamiliki watano wa eneo hilo.

Play kwenye hii video kutazama wakazi wa Kimara wanavyolala nje baada ya bomoabomoa!!!

ULIPITWA? BOMOA BOMOA DAR: Wakazi Kimara waeleza wanavyoishi kwa shida…tazama kwenye hii video hapa chini!! 

HAUTAKI KUPITWA??? Kuna hii APP MPYA YA MILLARD AYO kwa wewe wa ANDROID unaweza kubonyeza hapa moja kwa moja kwenda kui-download mtu wangu, HABARI ZOTE KIGANJANI MWAKO >>> APP MPYA BONYEZA HAPA

You Might Also Like

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

TAGGED: Pichaz, TZA HABARI
Millard Ayo August 31, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article KAZI IMEANZA DSM: Kamanda mpya kaongea tena leo
Next Article Mzee wa Kimasai mwenye Wake 8 na Watoto 70 akawajengea na shule kabisa ili wasipate tabu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
Top Stories August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

August 11, 2022
Top Stories

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?