Top Stories

Hashim Rungwe afichua zawadi aliyoiacha Dr.Reginal Mengi (+video)

on

Wakati shughuli za msiba zikiendelea nyumbani kwa marehemu Dr.Reginald Mengi watu mbalimbali wamefika nyumbani hapo wakiwemo viongozi wa kisiasa na kiserikali ambapo mmoja wao ni Mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashimu Rungwe.

Akiwa nyumbani kwa marehemu Rungwe amewaambia waandishi wa habari kuwa Dr. Mengi amefanya mambo mengi ikiwemo ya Kibiashara, hivyo taifa limepoteza mtu muhimu.

I can, I mus, I will ni msemo wake mwenyewe alikuwa anasema na ametuachia kama zawadi,”amesema.

‘MENGI ALIKUBALI KUTENGA BILIONI 2 ZA UJENZI WA KIWANDA’- RC MAKONDA

Soma na hizi

Tupia Comments