AyoTV

AUDIO: Maneno alioyaongea kocha anayedaiwa kumrithi Hans Pluijm Yanga

on

 

Najua wewe utakuwa ni mmoja kati ya watu ambao wanahamu ya kufahamu ukweli kuhusu ujio wa kocha wa Zesco United ya Zambia George Lwandamina, kwa stori na tetesi zilizopo katika mitandao ya kijamii inadaiwa kuwa kocha George Lwandamina amekuja Tanzania Jana October 23 kurithi nafasi ya kocha wa sasa wa Yanga Hans van Pluijm, millardayo.com imempata.

“Mimi ni kocha proffesional na ninaweza kufundisha soka katika nchi yoyote kama ofa nzuri inakuja mezani kwangu sio tu Tanzania, sio kweli kwamba nimepata ofa kutoka Tanzania, nimekuja kwa biashara zangu binafsi unajua Zambia ni nchi ambayo haina bandari, so kama unataka kufanya biashara bandari iliyopo karibu na Zambia ni Dar es Salaam” >>> George Lwandamina

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments