Top Stories

Hassan Ngoma wa Clouds 360 ateuliwa kuwa Katibu Tawala Singida

on

Waziri Mkuchika kwa Mamlaka aliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemteua Hassan Ngoma kuwa Katibu Tawala Wilaya ya Singida akichukua nafasi ya Wilson Shimo ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyang’wale Mkoani Geita.

GONDWE AWAACHA HOI WATU IKULU KASHTUKIZWA KUONGEA NA MSIGWA KAKOSA CHA KUSEMA

Soma na hizi

Tupia Comments