AyoTV

“Hata kama nina shinda goli moja nina furaha”>>> Luc Eymael

on

Baada ya ushindi wa 1-0 wa Yanga dhidi ya Ruvu Shooting kocha mkuu wa Yanga raia wa Ubelgiji Luc Eymael aliongea na waandishi wa habari na kujibu maswali yote.

Emael ameeleza kuwa hata kama amekuwa akipa ushindi mdogo ana furaha na vijana wake kupambana na kuhakikisha wanapata matokeo kila mechi, hana tatizo kabisa na timu yake kupata ushindi mduchu.

VIDEO: MASAU BWIRE ATOLEWA NA WANAJESHI, MASHABIKI WA YANGA WAMZONGA

Soma na hizi

Tupia Comments