Habari za Mastaa

Hatimae filamu ya Binti yaanza kuonekana kwenye platform ya NETFLIX

on

Hatimaye filamu ya Binti yaanza kuonekana kwenye platform ya NETFLIX.

Filamu ya Binti iliyoandaliwa na director Seko Shamte kupitia Black Unicorn Studios, tayari imeanza kuruka leo 7 mwezi wa kwanza 2022 kupitia platform hiyo.

Seko Shamte amesema ina kibali cha kuonekana ulimwengu kote (Global acquisition) na siyo Africa tu, kwa hiyo watu wote wenye netflix duniani watapata fursa ya kuingalia.

Binti ilishinda tuzo ya filamu bora mwaka 2021 kwenye ZIFF na inaonekana Netflix wameona ina kiwango bora inayostahili kuonekana kwenye platform yao. Itakuwa ndiyo filamu ya kwanza iliyonadaliwa hapa hapa nyumbani, yenye waigizaji wa hapa nyumbani kuwepo kwenye Platforrm hiyo yenye subscribers millioni 209, duniani kote.

“Kiukweli ni jambo la kumshukuru na ningependa kuwajuza mashabiki ama wafuatiliaji wa filamu ya Binti kuwa imeanza itaanza kuonekana leo 7 January 2022 kupitia Platform ya NETFLIX”- Seko Shamte

“Nashukuru wsa

.

JIONEE ULIVYOFANYIKA UZINDUZI WA FILAMU YA BINTI, MLIMANI CITY DSM

Soma na hizi

Tupia Comments