Michezo

Hatimae Rais wa Uganda alegeza msimamo katika michezo

on

Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni ameendelea msimamo wa kuweka lock down katika baadhi ya mambo na kulegeza katika michezo.

Miseveni ametangaza sasa michezo inaweza kurejea lakini katika viwanja vya wazi vinavyopitisha hewa na sio viwanja vya ndani yaani indoor.

Pamoja na hayo michezo inarejea lakini hawataruhusiwa mashabiki kuingia viwanjani, washiriki katika michezo iliyoruhusiwa watakuwa wakipimwa Corona kila baada ya wiki mbili.

Soma na hizi

Tupia Comments