Habari za Mastaa

Hatimaye Steve Nyerere anyoosha mikono juu, ajiuzulu nafasi ya usemaji (video+)

on

Steve Nyerere ametangaza kujiuzulu leo hii Kwenye ofisi za BASATA leo hii akiwa anazungumza na Waandishi wa Habari

Steve amesema ataendelea kuwepo kwenye Maisha ya Wasanii kwani bado ana nafasi za Uongozi sehemu mbali mbali na hata ataendelea kuendesha Matamasha yanayowahusu wasanii.

Ayo TV & Millardayo.com imekuletea kile alichokizungumza Steve Nyerere kwenye mkutano na Waandishi wa Habari.

BAADA YA STEVE NYERERE KUJIUZULU, ATANGAZA HILI KWA MWANA FA NA WENZAKE WALIOMKATAA

 

Soma na hizi

Tupia Comments