Habari za Mastaa

Hatimaye Madam Rita kafanya hili kwa Mshindi wa BSS 2019

on

Baada ya Mshindi wa BSS 2019 kwenda kulalamika kwa Naibu Waziri wa habari utamaduni Sanaa na Michezo Juliana Shonza kuwa hajalipwa fedha zake alizoahidiwa baada ya kuwa Mshindi wa BSS 2019.

Sasa leo May 13, 2020 mkurugenzi wa Benchmark Productions ambayo inasimamia mashindano ya BSS Madam Rita ameshare haya kwenye ukurasa wake wa Instagram kuhusu Meshaki.

BONYEZA PLAY KUSIKIA ZAIDI

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments