Michezo

Kocha Pep Guardiola amefunga ndoa na huyu mpenzi wake wa longtime

on

Screen Shot 2014-05-30 at 3.14.27 AMHatimaye kocha wa klabu bingwa ya Ujerumani Bayern Munich, Pep Guardiola amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Cristina Serra May 29 2014 ikiwa ni ndoa ya kawaida kabisa bila shamrashamra zozote.

2,w=650,c=0.bild

Ndoa imefungwa kiserikali huko Matadepera, Catalonia Hispainia ambapo Pep na mchumba wake Cristina pamoja na watoto wao watatu na wazazi wao, walifanya sherehe ndogo kuhalalisha uhusiano wao na picha zilizopatikana ni hizi hapa chini.

o_MDSIMA20140529_0125_1Guardiola mwenye shati la kaki na mkewe Cristina mwenye suruali nyeusi pamoja koti jekundu wakisindikizwa na ndugu zao kwenda kufunga ndoa.

i_MDSIMA20140529_0126_1Ili niwe nakutumia kila taarifa inayonifikia jiunge na mimi kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Instagram facebook na kupata pichaz, video, stori na mengine yote ya hii dunia.

Tupia Comments