Habari za Mastaa

Hawa hapa Wanafunzi wa UDOM, wamefunguka kuelekea Nandy Festival

on

Baada ya Kigoma na Mwanza kushuhudia burudani kupitia tamasha la Nandy Festival, sasa ni zamu ya watu wa Dodoma ambapo na wao watashuhudia burudani kutoka kwa wasanii tofauti tofauti wekeend hii, Ayo TV imepiga story na wanafunzi wa UDOM ambao wamefunguka haya. PLAY kutazama.

TAZAMA BARNABA ALIVYOWAIMBIA WHOZU NA TUNDA MAHABA KAMA YOTE KWENYE BABY SHOWER

 

Soma na hizi

Tupia Comments