Top Stories

Hawa ni watu maarufu duniani waliopata Corona (+video)

on

Virusi vya Corona vimeendelea kuitikisa dunia katika kila nyanja, hofu ikitawala miongoni mwa watu licha ya juhudi kubwa zinazofanywa na kila taifa kukabiliana na kasi ya maambukizi.

Hii ni orodha ya watu mashuhuri duniani waliokumbwa na ugonjwa huo.

NESI MWENYE HURUMA KAPATA CORONA AKAJIUA ILI ASIAMBUKIZE WENGINE, “ALIAMBUKIZA MMOJA”

Soma na hizi

Tupia Comments