Top Stories

Hawa wameokota pesa ( Bilioni 2) wakazipeleka Polisi, Wewe Je?

on

Familia hii, Baba Mama na Watoto wawili iliokota pesa dola za kimarekani ambazo ni zaidi ya Tsh. BILIONI 2 wakati ikiwa matembezini ambapo zilikua kwenye mifuko na waliziona kama takataka tu ambazo zimeangushwa katikati ya barabara hivyo wakasimamisha gari.

Walisimamisha gari na kuzibeba ili baadae wakimaliza mizunguko wakazitupe kwenye sehemu ya taka, jioni yake walipofika nyumbani kabla ya kuzitupa wakasema ngoja watazame kwanza kilichomo ndiyo wakakutana na hizo dolari na kuwapigia Polisi na kusema tumerudisha sababu sio zetu.

SIMU YA MSIKILIZAJI DEMU KAM-CHEAT MARA MBILI “KA-CHEAT NA MWALIMU WANGU IKABIDI NIMFATE USO KWA USO”

Soma na hizi

Tupia Comments