Mchekeshaji Joti akiwa miongoni mwa waigizaji waliotoa heshima za mwisho kwenye mwili wa Dkt. Reginald Mengi katika ukumbi wa Karimjee Posta na amefunguka kuhusu umaarufu alioupata kupitia ITV na mchango alioupata kutoka kwa Reginald Mengi.
Bonyeza PLAY hapa chini kutazama mwanzo mwisho.
VIDEO: B-DOZEN, DJ D-OMMY WA CLOUDS FM WATOA YA MOYONI MSIBANI KWA DKT. MENGI