Top Stories

Tukio la uvamizi lilivyogeuka na kuwa surprise (+Video)

on

Siku hizi kila mtu ana mbinu yake ya kumvalisha pete mchumba wake mtarajiwa ambapo watu wengine hufanya surprise na kuwaalika family au hata marafiki, sasa leo nimeidaka hii kutokea kwenye mitandao ya kijamii jinsi Afisa wa jeshi la Marekani alivyomfanyia surprise mchumba wake mtarajiwa na kumvalisha pete.

Unaambiwa ni tukio la uvamizi lakini liligeuka na kuwa surprise, Bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

VIDEO: SIKU 7 GEREZANI, WEMA SEPETU AKIRI KUPITIA WAKATI MGUMU

Soma na hizi

Tupia Comments