AyoTV

Baada ya kudaiwa kumtelekeza mtoto, Barakah da Prince kafunguka ya moyoni….(+Video)

on

Stori kwenye U Heard ya clouds FM March 1 2016 ilikuwa ni hii ya staa wa bongofleva Baraka da Prince, kuhusiana na  tuhuma za kumtelekeza mtoto, Soudy Brown alipiga stori na msichana ambaye anadaiwa kupata mtoto  na Barakah na kuelezea kuwa>>

tatizo sasa hatoi huduma ya mtoto, yani kila siku nikimpigia simu yuko busy anadai yuko studio na huku nyumbani kwetu wananifukuza wanadai niende Dar es salaam‘ 

Baada ya hizi stori, AYO TV ilimtafuta Barakah da Prince ili kupata ukamilisho ‘Kwanza siwezi kumkataa wala kumtelekeza mtoto, ni kweli mimi nina mtoto na taarifa za kuwa sitoi matumizi ya mwanangu

sijawahi kupewa taarifa za matumizi ya mwanangu na nikaachi kutuma, imeniumiza sana, na hii imeniuma kuliko kitu chochote kilichowahi kuniuma katika maisha yanguBarakah da Prince

Unaweza kumtazama hapa Barakah da prince akielezea maumivu hayo….

ILIKUPITA HII YA LINEX VS BARAKAH DA PRINCE KUHUSU KUSAMBAZA VIDEO YA NGONO…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments