Mix

Vichwa 10 vya Habari kubwa kwenye TV za Tanzania April 30 206

on

Kama utakua ni mpenzi wa kutazama taarifa ya habari na haukupata time ya kutazama taarifa ya Habari ya April 30 2016 kupitia TV za Tanzania usijali millardayo.com inakupatia fursa ya kuzitazama vichwa 10 vya Habari kupitia TV za Tanzania

Vichwa vya Habari kutoka Clouds TVZitto Aunguruma Bungeni20160429_194127

Vichwa vya Habari kutoka Clouds TV…Kesho Ndio Kesho DSM20160429_193955

Vichwa vya Habari kutoka ITV Agizo

Jeshi la Polisi na Ofisi ya mwendesha mashtaka watakiwa kutekeleza wajibu wao20160429_200203

Vichwa vya Habari kutoka ITV…Bomba la Mafuta

Wataalam wa Tanzania na Uganda wakutana utekelezaji

20160429_200547

Vichwa vya Habari kutoka TBC1…Jeshi la Polisi ya Mwendesha Mashtaka Zaagizwa Kujirekebisha Kiutendaji20160429_200140

Vichwa vya Habari kutoka TBC1…Serikali ya Uganda Yatuma Wataalam Kujadili Uamuzi wa Kutumia Bandari ya Tanga Kusafirisha Mafuta Ghafi20160429_200514

Habari kutoka Azam TWOMSD Yajitetea20160429_200533

Habari kutoka Azam TWO…Rais Magufuli Awageukia Polisi20160429_200125

Habari Kutoka Star TV…Tuhuma za Kuficha  Sukari

Wafanyabiashara wawili washikiliwa Singida20160429_200651

Habari Kutoka Star TV…Madai ya Wanawake Kubakwa

Viongozi watembelea mto wa mbu20160429_201107

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

ULIMISS MANENO YA MR BLUE NA MJ RECORD KUHUSU MR II KUCHUA WIMBO WA MR BLUE…

Soma na hizi

Tupia Comments