Mix

Habari 9 kubwa kwenye TV za Tanzania April 15 2016

on

Kama wewe ni mpenzi wa kufuatilia kinachoendelea katika taarifa za habari kupitia TV za Tanzania na ulikosa  time ya kuangalia taarifa ya Habari ya April 15 2016 usijali millardayo.com inakupatia fursa ya kuziangalia Habari tisa kubwa kupitia TV za Tanzania.

Habari kutoka Channel 1OAthari za Mafuriko Mbeya

Mkuu wa Wilaya ya Kyela amemtaka Mkurugenziwa Halmashauri kumchukulia hatua Mkuu wa shule ya Sekondari ya Mwaya kutokana na uzembe wa kusababisha vitendea kazi ya shule hiyo kuloana na mvua.’niseme tu kwamba nina masikitiko makubwa sana kutoka na Mkuu huyu wa Shule ya Sekondari ya Mwaya kuacha vitendea kazi vya shule hii kuloana na mvua wakati anajua shule yake kila mwaka inapata mafuriko‘>>>Mkuu wa Wilaya Kyela20160415_190157

Habari kutoka Channel 10Sera ya Nyumba Kuanzishwa Nchini

Serikali imeanza mkakati wa kuwa na sera ya Taifa ya maendeleo ambayo itaweza kuonyesha namna bora ya kusimamia sekta ya nyumba ili kuongeza ustawi kwa wananchi na Taifa kwa ujumla.

Hata tunashindwa kupata wafanyakazi wenye kiwango kizuri wanaoweza kumudu gharama kutokana gharama zenu na leo tunaambiwa kila mshahara ukipanda hautoshi lakini nani anasababisha hatoshi ni nyine wenye nyumba’>>>William Lukuvi Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
20160415_191629

Habari kutoka Clouds TVSudan Kusini Yajiunga EAC 

Serikali ya Jamuhuri ya watu wa Sudan Kuisini imesaini mkataba wa kuiwezesha kuwa Mwanachama kamili wa Juiya ya Afrika Masahriki EAC ‘Sudan Kusini imekuwa moja ya sehemu zinazopatika kwenye nchi za Afrika Mashariki pia tumekuwa tukishirikiana na Sudan Kusini kwenye baadhi ya vitu kama Biashara‘>>> John Pombe Magufuli Rais wa Jamuhuri ya Muungano
20160415_193921

Habari kutoka Azam TWOKortini kwa Kumtusi Rais Mtandaoni

Mtuhumiwa wa kutuma ujumbe wenye kumtusi Rais Magufuli amefikishwa Mahakamani leo na kusomewa mashataka ‘Mapema asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mtuhumiwa Isack Abakuki amefikishwa kujibu mashtaka yanayomkabili kwa kutuma ujumbe wa matusi kwa Rais Magufuli kesi hiyo imeharisha mpaka tarehe 18-4-2016‘>>>Mwandishi wa Habari
20160415_201104

Habari kutoka Azam TWOKizimbani kwa Utapeli Kagera

Kama mlivyosikia Mahakamani tumemsomea mashtaka mawili kwa kuanzia shitaka la kwanza anashtakiwa kwa kumtishia kwa maandishi kumua meneja wa Tanesco Mkoa wa Kagera na shtaka la pili ni kujifanya mtumishi wa umma wa shirika la Tanesco‘>>>Mwanasheria

20160415_201353

Habari kutoka ITVMafuriko

Mtu mmoja afariki dunia na shule nane kufungwa kutokana na mafuriko Kyela ‘Nimeagiza zile shule ambazo maji yameingia ndani mengi na hakuna nafasi za wanafunzi kukaa wala kujisomea nimezifunga kwahiyo sasa hivi nimefunga shule za sekondari tatu, Ndobo tulikuwa tunaiangalia kama hali itaendelea kuwa mbaya nimemuagiza Diwani kuifunga‘>>>Mkuu wa Wilaya ya Kyela 20160415_200635

Habari kutoka ITV...Ziara

Waziri wa Kilimo afanya ziara ya kushtukiza katika soko la Kimataifa la Samaki Mwanza ‘Sasa naelekeza kuanzia leo hii kamati ya Ulinzi na usalama kuwa nyinyi ni mabingwa wa kufuatilia embu fuatilieni mtiririko wa mashine hizozote ambazo tumezitaja hapatena kwa namaba maana zilikuja na nyaraka zake‘>>>Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba20160415_201722

Habari kutokaTuhuma za Tiba Asili

Kigwangala aamuru kufungwa kwa kituo  vya wakorea ‘kwenye leseni au kibali cha kufungulia hiki kituo mliomba kutumia daktari wa kitanzania na hapa sijaaona huyo daktari kwahiyo hiki kituo nakifunga‘…>>>Khamisi Kigwangala Naibu Waziri Waziri wa Afya20160415_201216

Habari kutoka TBC1Rais wa Zanzibar Azindua Mpango Mpya wa Ulipaji wa Pensheni kwa wazee

Nataka kusema kwamba zoezi hili linatarajia kutumia milioni 435 kwa kila  na wewe kama ni waziri wa fedha naimani utazileta fedha hizi ziweze kutumika katika zoezi hili’>>>Modlen Costico Waziri wa Kazi Uwezeshaji, Wazee, Vijana Wanawake na Watoto20160415_201832 Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE

JE? UNAIKUMBUKA BONGO DAR ES SALAAM? DUDE KAIZUNGUMZIA HAPA…

Soma na hizi

Tupia Comments