Mix

Vichwa 8 vya Habari kubwa kwenye TV za Tanzania April 20 2016

on

Kama utakua ni mpenzi wa kutazama taarifa ya habari na haukupata time ya kutazama taarifa ya Habari ya April 2o 2016 kupitia TV za Tanzania usijali millardayo.com inakupatia fursa ya kuzitazama vichwa 15 vya Habari kupitia TV za Tanzania

Kichwa cha Habari kutoka ITV… Bwawa la Kidatu

Tanesco yafungulia maji baada ya kujaa kuzidi kiwango kinachotakiwa

20160420_200221

Kichwa cha Habari kutoka ITV… Kuzama kwa Gari Baharini

Watu wawili wamefariki dunia baada ya gari kutumbukia ndani ya Bahari ya Hindi20160420_201313

Kichwa cha Habari kutoka TBC1...Serikali ya Zanzibar Yawahakikishia Wananchi Wake Kuwapelekea Huduma Muhimu.20160420_201405

Kichwa cha Habari kutoka TBC1…Vyombo vya Ulinzi na Usalama Takukuru Vyapewa Siku 28 Kuchunguza Ubadhirifu Soko la Mwanjelwa20160420_201749

Kichwa cha  Habari kutoka Star TV….Matumizi Mabaya ya Madaraka

Mwenyekiti kijiji cha Simanjiro avuliwa madaraka20160420_202733

Kichwa cha Habari kutoka Star TV…Mpango wa Pili wa Maendeleo 

Serikali yawahakikishia watanzania mabadiliko20160420_200528

Kichwa cha Habari kutoka Azam TWO… Wanafunzi Sekondari Hawajui Kusoma na Kuandika20160420_202240

Kichwa cha Habari kutoka Azam TWO…Watoto Wenye Vichwa Vikubwa Kutibiwa20160420_202721

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIKOSA HII YA SIMBA WALIVYOTANGAZA MAAAMUZI YA KUMFUNGIA MCHEZAJI WAO LEO APRIL 20 2016 ITAZAME HAPA CHINI… 

Soma na hizi

Tupia Comments