Mix

Habari 5 kubwa kwenye TV za Tanzania April 22 2016

on

Kama utakua ni mpenzi wa kutazama taarifa ya habari na hukupata time ya kutazama taarifa ya Habari ya April 22 2016 kupitia TV za Tanzania usijali millardayo.com imekurekodia habari 5 kupitia TV za Tanzania.

Habari kutoka Clouds TVHoma ya Nauli ya Mabasi yaendayo Haraka

Mradi wa mabasi yaendayo kasi ni miongoni mwa miradi inayosubiriwa na wakazi wa Dar es salaam Serikali kupitia kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli inasema viwango vilivyowekwa vya nauli kupitia magari yaendayo kasi yana harufu ya kifisadi.

Tulichelewesha kidogo kwa sababu tuliona kuna utapeli mdogo ulitaka kuchezwa mule‘>>Rais Magufuli20160422_193207

Habari kutoka Clouds TVMiundo Mbinu ya Mahakama Kuboreshwa

Mahakama kuu ya Tanzania imeazimia kuelekeza nguvu zaidi kulipatia ufumbuzi tatizo la miundo mbinu kupitia mkopo ulioidhinishwa na benki ya dunia, …..>>>’Mkopo huu utanza kutekelezwa katika mwaka wa fedha 2016/2017 sahivi tuko kwenye matayarisho‘ Mkuu wa kitengo cha mawasiliano Mahakama Kuu ya Tanzania20160422_194015

Habari kutoka Azam TWO…Wabunge wa Upinzania Wasusia Bunge

Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe ameeleza kuwa Serikali ya awamu ya tano imeshindwa kuunda wizara zake kisheria hivyo akayazungumza haya……>>> ‘Sisi tumesema hatutashiriki kutoa hotuba leo na wala kushiriki hoja yeyote hakuna mbunge yeyote wa kambi yetu ambaye atashiriki:-Freeman Mbowe20160422_200236

Habari kutoka ITV…TFDA

Shehena ya vipodozi vilivyopigwa marufuku yakamatwa Kariakoo, ‘Katika historia ya udhibiti wa TFDA hatujawahi kukamata shehena kubwa lenye vipodozi kama hili kwa kweli niwapongeze sana wakaguzi wetu na pia ni lipongeze Jeshi la Polisi’

20160422_201019

Habari kutoka TBC1…Serikali Yaombwa Kuwachukulia Hatua Wanaoruhusu Mifugo kwenye makazi

Serikali yaombwa Kuwachukulia Hatua Wanaoruhusu Mifugo kwenye Makazi, ‘Nitalishughulikia kadri ya uwezo wangu na nyie wananchi mtakuwa ni mashahidi‘;-Mkuu wa Wilaya ya Urambo Qeen Mlonzi20160422_201302

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIMISS INSTAGRAMNEWS: STAA GANI WA BONGO KAFUTA PICHA ZOTE INSTA…

Soma na hizi

Tupia Comments