Mix

Habari 11 kubwa kwenye TV za Tanzania April 25 2016

on

Kama utakua ni mpenzi wa kutazama taarifa ya habari na hukupata time ya kutazama taarifa ya Habari ya April 25 2016 kupitia TV za Tanzania usijali millardayo.com imekurekodia habari 10 kupitia TV za Tanzania.

Habari kutoka Clouds TV…Matukio yaUbakaji Yamekithiri

Vitendo vya ukatili wa kijinsia hasa kwa matukio ya ubakaji yameendelea kushamiri katika maeneo mbalimbali nchini ‘Alikuwa ananitishia kisu ndio alipokuwa amenizidi nguvu na mimi sikuwa na kitu cha kumfanya ndioa alipofanikiwa kunifanya hicho kitendo cha kunibaka‘>>>Mtoto

20160425_193228

Habari kutoka Clouds TVHofu ya Matibabu ya Selimundu

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imewatoa hofu watanzania juu ya taarifa zinazoenezwa kuwa wamesitisha huduma ya matibabu kwa wagonjwa wa Selimundu, ‘Natuna imani kuwa wale wote wanasambaza taarifa hizi ya kwamba huduma hizi zimesitishwa wanamaslahi yao binafsi juu ya wagonjwa hawa‘>>>Kaimu Mkurugenzi Prof Laurence Maseru

20160425_193645

Habari kutoa ITVAthari za Mvua

Watu 7 wafariki Mkoani Kilimanjaro baada ya kuangukiwa na nyumba,  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro amethibitisha kutokea kwa tukio hilo Wilbroad Mutafunga20160425_200216

Habari kutoka ITV...ACT

ACT Wazalendo ya unga mkono utumbuaji majipu katiaka Serikali ya awamu ya tano ‘Bado Rais anapapasa swala la Ufisadi kuna mambo ya muda mrefu ambayo kama nchi tunaendelea kuyalipia na Rais ameyakalia kimya kwa mfano swala la IPTL‘>>>Zitto Kabwe
20160425_201107

Habari kutoka ITVAjali

Watu watano wanusurika kifo katika ajali ya malori Wilayani Ngara ‘Rai yangu mimi kama Mkuu wa Wilaya ya Ngara ni kwamaba badala ya kuendeleza kuekeza katika vyomba vya zima moto mkoani nafikiri tunatakiwa tuishahuri serikali‘>>>Honoratha Kihanda20160425_201038

Habari kutoka Star TVDeni la Taifa

Ripoti ya CAG yaonyesha kuongozeka kwa asilimia 7.05 ‘Yani Serikali inatoa mishahara na mishahara inapitia benki na inakaa baada ya siku kumi na nne inarudishwa hazina hii ni mishahara ambayo haijarudishwa  hazina mpaka sasa inafikia bilioni 2 mpaka sasa hivi, Serikali kuu ni biloni 2 na Serikali za mitaa ni bilioni 3‘>>>Pro Mussa Assad20160425_200429

Habari kutoka Star TVVitendo vya Ubakaji, Ulawiti

Wanawake Babati waandamana kupinga vitendo vya unanyanyasaji,  hadi sasa tumewapoteza kina mama wasiopungua watatu na kulawatiwa kwa kijana mmoja ‘Nimeshamuagiza OCD kuanzia leo  wanaanza operation kali yakuhakisha  nyumba zote wanazo pika gongo na mitambo yake kuzibitiwa‘>>>Chrispin Meela Mkuu wa Wilaya ya Babati20160425_200733

Vichwaa vya Habari kutoka Azam TWOSamia Atetea Hoja ya Magufuli

20160425_200912

Vichwa vya Habari kutoka Azam TWO…China Kujenga Reli Tanzania

20160425_202018

Vichwa vya HabariChannel 1o...Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora20160425_191550

Vichwa vya HabariChannel 1o…Mgogoro Kijiji cha Makao-Meatu20160425_191814

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB

ULIMISS HAYA MANENO MAZITO YA ZITO KABWE KUHUSU JPM KUINGILIA MAJUKUMU YA MAWAZIRI ITAZAME HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments