Mix

Vichwa 9 vya habari kwenye TV za Tanzania August 8 2016

on

Mtu wangu kama utakua ni mpenzi wa kutazama taarifa ya habari na hukupata time ya kutazama taarifa ya Habari ya August 8 2016 kupitia TV za Tanzania usijali millardayo.com inakupatia fursa ya kutazama vichwa  vya Habari kupitia TV za Tanzania.

Kichwa cha habari kutoka Star TV…Mizani ya Pamba

Karani Wilayani Meatu mbaroni kwa udanganyifu

20160808_201119

Kichwa cha habari kutoka Star TV…Miundo Mbinu Duni

Idadi ya watalii yapungua mbuga ya Katavi

20160808_203156

Kichwa cha habari kutoka Star TV…Agizo la Kuhama

Machinga Mwanza waomba Serikali kuangalia upya

20160808_201527

Kichwa cha habari kutoka ITV…Uchafu wa Mazingira

Badhi ya viwanda vyaendelea kutiririsha maji taka kwenye mito Mkoani Morogoro

20160808_201217

Kichwa cha habari kutoka ITV…Maadhimisho ya Nane Nane Arusha

Changamoto kubwa ya wakulima yatajwa kuwa gharama kubwa za zana za kilimo

20160808_201850

Kichwa cha habari kutoka ITV…Agizo 

Halimashauri zaagizwa kutenga maeneo ya uwekezaji wa viwanda vya kusindikiza mazao

20160808_200647

Kichwa cha habari kutoka Azam TWO…Makamba: Nchi Itaachana na Mkaa

20160808_202651

Kichwa cha habari kutoka TBC 1…Halmashauri ya Pili ya Iringa Yaaswa Kuweka Kipaumbele Maendeleo kwa Wananchi

20160808_202615

Kichwa cha habari kutoka TBC 1….Bei ua Umeme na Gesi, Chanzo cha Wanachi Kutumia Zaidi Mkaa 20160808_202134_001

ULIKOSA KUIONA VIDEO YA TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI KUHUSU KUKAMATWA KWA TUNDU LISSU? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments