Mix

Habari 5 kubwa kwenye TV za Tanzania July 27 2016

on

Ni kawaida yangu kukusogezea Habari zote zilizopewa airtime kwenye TV za Tanzania Kama ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari ya July 27 2016 usijali millardayo.com inakupa fursa ya kuziangalia Habari tano kubwa kupitia TV za Tanzania.

Habari kutoka Channel 10Chadema Chatangaza Kufanya Maandamano

Sisi Kama Chama Kikuu cha upinzani tunatambua kuwa mikutano ya hadhara ndio sehemu muhimu ya kuyasema matatizo yetu, sisi kama Chadema tunatangaza kuwa tarehe September 1 2016 kama siku ambayo itakuwa siku ya mikutano nchi nzima” >>>Freeman Mbowe
20160727_191427

Habari Kutoka Clouds TV…..Aliyemuua Mwangosi Afungwa 

Licha ya Jamuhuri kuomba mtuhumiwa aliyehusika na kifo cha Daudi Mwangosi kufungwa kifungo cha maisha ,  Mahakama imeamua kumuhuku mtuhumiwa huyo kifungo cha miaka 15 jela ili iwe fundisho kwake na kwa Askari wengine
20160727_194139

Habari kutoka A zam TWOManunuzi Katika Taasisi za Umma
20160727_201739

Habari kutoka ITVAjali

Watu watatu wamenusurika kufa katika ajali eneo la Msavu baada ya gari lilobeba shehena ya mafuta ya kula kupinduka maeneo ya Msavu.20160727_201021

Habari kutoka TBC Serikali yaimarisha doria ndani ya ziwa victoria

Waziri wa mambo ndani ya nchi Mwiguru nchemba amesema serikali imeongeza doria katika ziwa Victoria na kuweka msako dhidi ya wahamiajia haramu ambapo wavuvi wamekuwa wakiporwa mali zao na wengine kupoteza maisha kutokana na vitendo vya uharamia katika ziwa hilo.

Waziri  Mwiguru nchemba aliyazungumza haya>>>> “Ilo zoezi la doria kuzuia kile ambacho kipo kinyume na sheria uvuvi haramu, uingiaji haramu, utumiaji wa vifaa visivyo rasmi, matumizi ya madawa kwa kazi zote zitafanyika kwa pamoja na kwa bahati nzuri ukanda huu apa wana vifaa vya kutosha vya kufanyia doria ndani ya maji

20160727_202004

ULIKOSA KUIONA VIDEO BAADA YA KUKAA SIKU MBILI MFULULIZO CHADEMA WAKAJA LA HILI? ICHEKI VIDEO NIMEKUEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments