Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Hekaheka ya mtoto wa miaka mitano anayedaiwa kubakwa na kaka yake
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > HekaHeka > Hekaheka ya mtoto wa miaka mitano anayedaiwa kubakwa na kaka yake
HekaHeka

Hekaheka ya mtoto wa miaka mitano anayedaiwa kubakwa na kaka yake

April 10, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Mtangazaji Geah Habibu kupitia kipindi cha Leo Tena ya Clouds FM, leo April 10 2017 ametuletea Heka Heka inayotokea Kigogo jijini Dar es Salaam ambayo inamuhusu mtoto wa kike kubakwa na kaka yake.

Mtoto huyo mwenye umri wa miaka mitano anadaiwa kufanyiwa udhalilishaji huo na kaka yake wa kuzaliwa tumbo moja mwenye umri wa miaka 13 ambapo amekuwa anawahadithia majirani kila anapofanyiwa kitendo hicho.

Majirani hao wamekuwa wakiifikisha taaifa hiyo kwa mama yake lakini wanashangazwa kutochukuliwa kwa hatua zozote mpaka pale Mjumbe alipompeleka mtoto huyo hospitali ambako aligundulika kuwa na michubuko huku mama akidai mtoto huyo ana fangasi.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full story….

HEKA HEKA: Aliyedaiwa kujiita mchungaji ambaka mtoto wa miaka mitano Dodoma

You Might Also Like

HEKAHEKA: Mwanaume aelezea jinsi Mkewe alivyopotea na kukuta mwili wake umeliwa

HEKAHEKA: Mwendelezo Kichanga cha miezi miwili kilichopotea kimepatikana kiutata

HEKAHEKA:Mwanamke aliyepokonywa mtoto wa miezi 10 mpaka leo ana miaka mitatu

HEKAHEKA: Mwanaume amnyonga mkewe na kisha ajinyonga mwenyewe

HEKAHEKA: Anyang’anywa mali na ndugu wa mume kabla ya kufahamu kifo cha mumewe

Victor Kileo TZA April 10, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article LIVE: Msanii Roma Mkatoliki, Waziri Mwakyembe wanazungumza na waandishi
Next Article VIDEO: Bashe na Sugu Bungeni, ni kuhusu matukio ya kutekwa
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?