Habari za Mastaa

U HEARD: Nuh Mziwanda adaiwa kuwa mapenzini na Video Queen

on

U heard ya March 31 2017 kupitia XXL ya Clouds FM mtangazaji Soudy Brown ametuletea stori inayomuhusu mwimbaji wa Bongofleva Nuh Mziwanda ambaye anadaiwa kutoka na Video Queen wa ngoma ya Songa, ‘Mwendo Tu’.

Soudy alipiga story na Songa pamoja na Nuh Mziwanda ili kujua ukweli…>>>“Kwa kweli sijui bwana Soudy na baada ya kufanya kazi naye sikumfuatilia tena. Sijawahi kusikia na kama anatoka na mume wa mtu hiyo ni ishu nyingne, labda walikuwa na mahusiano.” Songa.

“Siyo kweli, hamna vitu kama hivyo, yule ni Video Queen nime-shoot naye video tu ya mtu, sidhani kama kuna vitu vingine vya tofauti halafu kumkiss ni mambo ya kawaida tu na vitu kama hivyo havinipi presha.” – Nuh Mziwanda.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza full story

VIDEO: Shamsa Ford kumsomea Al-badil aliyeiba account yake ya Instagram

Soma na hizi

Tupia Comments