Habari za Mastaa

Mwasiti asimulia alivyoporwa na vibaka kwenye foleni Ubungo

on

Muimbaji Mwasiti amethibitisha kuporwa na kibaka kwenye foleni alipokuwa mataa ya Ubungo DSM, ambapo amesema ni kweli ameibiwa kibegi ambacho kilikuwa na baadhi ya vitu vyake. Msikilize hapa Mwasiti akielezea Bonyeza PLAY hapa chini.

VIDEO: Muimba Qaswida maarufu aliedaiwa kubakwa na kujiuwa Kazungumza kwa mara ya kwanza

Mabibi na Mabwana hili hapa kundi jipya la Muziki Bongoflevani VMG

Soma na hizi

Tupia Comments