Top Stories

Tamko la Polisi Mwanza juu ya kutekwa Sheikh Bashiru (+video)

on

Baada ya taarifa ya kutekwa kwa Mwalimu wa Mkuu kitengo cha Dini shule ya Sekondari Islamiya Sheikh Bashiru Habibu, AyoTV na millardayo.com imeongea na Kamanda wa Polisi Mwanza Jonathani Shanna kutupa ufafanuzi.

Kamanda Shanna amesema “Sheikh aliondoka na Kijana akiwa anamsindikiza ili akaonane na Baba wa Kijana huyo, alipofika nje ya Chuo aliingia ndani ya gari na wenzake walidhani anaondoka anaenda sehemu fulani, baada ya kuingia ndani ya gari hakurudi”

MKE AONGEA MUMEWE SHEIKH KUTEKWA KWA SIKU YA TISA LEO

Soma na hizi

Tupia Comments