Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipata huko.
#NIPASHE Serikali imebainisha kuwa mwanafunzi mwenye umri wa zaidi ya miaka 30 hatanufaika na mikopo ya elimu ya juu kuanzia sasa pic.twitter.com/S7tJLTe8GW
— millardayo (@millardayo) October 31, 2016
#MWANANCHI Saluti ya polisi kwa Lipumba yazua mjadala baada ya kuonekana kuwa si mmoja wa viongozi wanaopaswa kupata heshima hiyo kisheria pic.twitter.com/HIvReyY5Wb
— millardayo (@millardayo) October 31, 2016
#MWANANCHI Serikali imesitisha mpango wa mchungaji Lwakatare wa kuwalipia faini wafungwa hadi hapo utaratibu mwingine utakapotolewa pic.twitter.com/mBYHv2ZkXr
— millardayo (@millardayo) October 31, 2016
#MWANANCHI Lowassa na Sumaye watua Dodoma kupanga mikakati pamoja na wabunge wa UKAWA jinsi ya kukabiliana na hoja mbalimbali bungeni pic.twitter.com/3QN0dZxclg
— millardayo (@millardayo) October 31, 2016
#MTANZANIA Maofisa wanane wa ngazi za juu ktk jeshi la polisi wanatajwa kurithi mikoba ya aliyekua DCI, Diwani Athuman pic.twitter.com/NPnQ4duF2V
— millardayo (@millardayo) October 31, 2016
#MTANZANIA Wanafunzi wa vyuo vikuu wamelalamikia wenzao wapatao 600 kuwa wamenyang'anywa mkopo ni baada ya upangaji mpya pic.twitter.com/PPfBXwAk8c
— millardayo (@millardayo) October 31, 2016
#JamboLEO Nusu ya wanafunzi mwaka wa kwanza walioomba mikopo ya elimu ya juu wamekosa, huku mamlaka zikiendelea kuwachunguza wengine 93,295 pic.twitter.com/KgpZyVjMlF
— millardayo (@millardayo) October 31, 2016
#JamboLEO Zaidi ya mil 100.7 zilizotolewa na TASAF kusaidia kaya maskini wilayani Rombo K'njaro zimetafunwa na kaya 476 zisizo na vigezo pic.twitter.com/UfiFrYqjTO
— millardayo (@millardayo) October 31, 2016
#JamboLEO CAG kuipekua bodi ya bahati nasibu, ni baada ya kupokea malalamiko kadhaa ikiwemo mkurugenzi kujiongezea posho zao bila kibali pic.twitter.com/19myN2hNcF
— millardayo (@millardayo) October 31, 2016
#JamboLEO LAPF imefanya uwekezaji wa miradi yenye thamani ya zaidi ya bil 60 ktk sekta ya elimu mkoani Dodoma pic.twitter.com/89gdvJ68ey
— millardayo (@millardayo) October 31, 2016
#TanzaniaDAIMA Uchaguzi wa umeya Ubungo, DSM unatarajia kufanyika kesho baada ya mkurugenzi wa wilaya kuitisha kikao cha baraza la madiwani pic.twitter.com/u5WTQjMYZr
— millardayo (@millardayo) October 31, 2016
#NIPASHE Wananchi Kilwa Lindi wamelalamikia kutotengenezwa kwa X-ray licha Rais mstaafu, Jakaya Kikwete kutoa mil 40 kwa ajili hiyo pic.twitter.com/cpm9QUfCxA
— millardayo (@millardayo) October 31, 2016
#NIPASHE Wafanyakazi wa TAZARA Mbeya wameiomba serikali kuivunja bodi ya shirika hilo kwa madai ya kushindwa kujiendesha kwa faida pic.twitter.com/Ef6FUvNY0u
— millardayo (@millardayo) October 31, 2016
#NIPASHE RC Pwani, Ndikilo amtumbua mwalimu mkuu baada ya udhuru wa kuuguza na kushindwa kutoa ushirikiano kwa waliokuwa wakifyatua matofali pic.twitter.com/7e4CwgOBwB
— millardayo (@millardayo) October 31, 2016
#MWANANCHI Mtoto wa mbunge Mbarali, Haroon Mulla alipa mil 138 asifungwe baada ya kutiwa hatiani kwa kumiliki nyara mbalimbali za serikali pic.twitter.com/0BaQqYKWwS
— millardayo (@millardayo) October 31, 2016
#MTANZANIA Mahakama ya juu ya Angola imemuamuru Rais Santos kujibu tuhuma za kumteua binti yake Isabel kuongoza kampuni ya Taifa ya mafuta pic.twitter.com/2t7bbi2fiJ
— millardayo (@millardayo) October 31, 2016
#JamboLEO Imeelezwa kuwa Arusha inakabiliwa na tatizo la udumavu, utapiamlo watoto chini ya miaka mitano kutokana na ukosefu wa lishe bora pic.twitter.com/7o6DRYdwk0
— millardayo (@millardayo) October 31, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV, OCTOBER 31 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDO HII HAPA CHINI