Video Mpya

VideoMpya: Kutoka Bablee Visual itazame ‘Dolly’ Singe Sally na HarryVice

on

Leo March 3, 2018 nakusogezea Video ya Wimbo wa ‘Dolly’ unaomilikiwa na Single Sally pamoja na HarryVice, Producer ni YOGO wakati video imeshutiwa na Bablee Visual.

Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama, ukisha itazama usiache ku-comment ili Singel Sally na HarryVice watakapopita hapa waone umepokeaje Video yao.

SNURA AWASHANGAA BASATA …… ‘SIJUI WANATAKA NINI”

Soma na hizi

Tupia Comments