Mkurugenzi mfuko wa fidia kwa Wafanyakazi Masha Mshomba na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella wametoa wito kwa waajiri wote nchini kuhakikisha wanafuata sheria zote na taratibu zinazolinda maslahi wa waajiriwa wao.
RC Mongella ameeleza kuwa waajiri wasisubiri kushurutishwa kufanya suala hili ukizingatia kuwa sheria ya jambo hilo ipo na hivyo utekelezaji wake utaongeza ufanisi katika kufanikisha uchumi wa viwanda.
Ulipitwa na hii? Kama wewe ni Mwajiri kuna hii ya kufahamu