AyoTV

RIPOTI YA MADINI! Kuna Vigogo wengine wametajwa kwenye Ripoti mpya

on

September 6, 2017 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekabidhiwa rasmi ripoti ya Kamati Maalum zilizoundwa na Bunge kuchunguza biashara ya madini ya Tanzanite na Almasi katika hafla iliyofanyika viwanja vya Bunge Dodoma.

VIDEO: “Lazima tuchukue hatua kali, kesho namfikishia Rais” – Majaliwa

Soma na hizi

Tupia Comments