AyoTV

Siwema, mama mtoto wa Nay wa Mitego kapata kifungo cha nje, Nay kaeleza..(+Video)

on

Stori inayochukua headlines 88.1 (Mwanza) kuhusu Mama mtoto wa Nay wa Mitego, Siwema kutumikia kifungo cha nje, sasa Ayo TV imempata Nay wa Mitego kueleza taarifa hizo za mzazi mwenza.

Tulikuwa tunapambana jinsi ya kumsaidia mpaka amepata kifungo cha nje, na kuna vitu ambavyo hatakiwi kufanya katika jamii kama kupigana  au kusafiri nje ya mkoa fulani mpaka kifungo chake cha miaka miwili lkitakapokwisha basi anaruhusiwa kuendelea na mambo mengine’- Nay wa Mitego

ULIIKOSA HII YA NAY WA MITEGO AKIELEZA ALIVYOPATA TAARIFA ZA MAMA MTOTO WAKE KUFUNGWA MIAKA MIWILI JELA ITAZAME HII VIDEO HAPA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments