Vituko/ Comedy

Hiki kituko cha mwalimu mkuu kimetisha kwa leo, aliingilia baada ya Wanafunzi wote kushindwa kujibu.

on

questionKuna msg za vituko ambazo huwa zinasambaa ambapo nyingine unakuta zina ukweli wake ndani ambapo kwenye hiki kituko cha leo ni kuhusu Mwalimu alieingia darasani na kuanza kuuliza maswali kwa Wanafunzi.

A photo posted by millard ayo (@millardayo) on

Mwalimu mkuu katisha kwa asilimia ngapi?

Soma na hizi

Tupia Comments