Habari za Mastaa

U HEARD: Alichojibu Mirror baada ya kudaiwa kutengwa na Wema alipopata ajali

on

March 28 2017 kupitia U heard ya Clouds FM, Soudy Brown baada ya kurejea kutoka likizo ameileta hii inayomhusu mkali wa muziki wa Bongo fleva Mirror anayedaiwa kutelekezwa na Management yake wakati anajiuguza hadi kupona kutokana na kupata ajali ya gari.

“Hamna, mimi sina matatizo na mtu, Madam sina tatizo naye hakuwahi kuja kunitembelea nyumbani sijajua labda yupo busy na kazi zake ila sina tatizo naye japo kuna wasanii kibao wamekuja kunitembelea. Watu wengi sana, ila sina noma na mtu yoyote” – Mirror.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza…

FULLVIDEO: Alichoongea Nay wa Mitego baada ya kuachiwa na polisi

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments